SABABU KUBWA (06) KWA NINI WAFANYABIASHARA 'WANAOJITAMBUA' WANATUMIA BUSINESS CARDS




 Yes, unaweza kuonekana ni mtindo mgeni wa maisha lakini hii ni moja kati ya njia rahisi sana za kufanya marketing ya biashara au huduma yako.

Matumizi ya business cards katika kutangaza biashara au huduma yako yana faida kadhaa kubwa sana. 


Hapa chini ni faida chache tu!

Mosi, business cards huonesha smartness kwenye ufanyaji wa biashara au utoaji wa huduma yako. Mtu yeyote yule anapokuomba mawasiliano yako ukampatia business cards; moja kwa moja anajua kwamba upo serious na unajua vyema unachokifanya.


Pili, business cards hujenga uaminifu. Wateja wengi hukuamini wewe pamoja na huduma au biashara yako hasa mara baada ya kujiridhisha kwamba uko formal sana. 


Tatu, huongeza ujasiri. Unapotumia business cards kuendesha huduma au biashara yako, hii inakuongezea ujasiri hata wewe mwenyewe hasa pale ambapo mtu anakuomba contacts unampatia business cards ๐Ÿ˜Ž


Nne, ni njia mojawapo ya kutangaza biashara au huduma unayofanya. Tuchukulie mfano umekutana na ndugu ambaye muda mrefu hamjaonana, akikuomba mawasiliano ukampatia business cards unakuwa umemwambia kwamba sasa hivi unajishughulisha na nini pasipo kutumia maneno ya moja kwa moja.


Tano, unajenga heshima. Hata wale wanaokuchukuliaga poa wanaanza kukuona ni mtu wa level zingine. Kumbuka, kuheshimiana ni muhimu hapa mjini๐Ÿ˜„


Sita, unavutia watu sahihi kufanya partnership na wewe. Kupitia business cards, watu sahihi watavutiwa sana kufanya biashara na wewe. Watu wakishasoma maelezo yako ni rahisi kuvutiwa na kufanya partnership na wewe kupitia huduma au biashara yako.




Mwisho...


Hakikisha unatumia business cards katika kugawa mawasiliano kwa wateja, wafuatiliaji, ndugu, jamaa na marafiki ili wajue kwamba wewe siyo hoves, unajitambua na unajua unachokifanya!


Sisi 'Msomi Huru Enterprises Co. LTD' tunadesign na kuprinti business cards kwa bei poa kabisa.


Tunatuma mikoa yote na tuna 'A' ya uaminifu!


Karibu sana Tukuhudumie!


'Limitless Creativity & Innovations'


Mawasiliano:


0764 987 588


Barua pepe:


msomihurugroup@gmail.com


Morogoro - Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

KWA NINI WATU WENGI HAWANA UTAMADUNI WA KUJISOMEA VITABU?

Mbwa Bado Hajafa! (Usikubali Kukata Tamaa)

KAULI KUMI ZA HAYATI MWL. JULIUS K. NYERERE KUHUSU ELIMU NDANI NA NJE YA NCHI