HIZI HAPA SABABU 100+ KWA NINI UNATAKIWA UKUZE BRAND YAKO KWANZA NDIPOSA UONE MAFANIKIO YAKITIRIRIKA KAMA MAJI YA MTO YORDANI!
Watu wengi sana ambao ni wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali huwa wanajikuta wakiwa kwenye mkanganyiko mkubwa mkubwa sana wa kipi wanachotakiwa kufanya kati ya kukuza brand zao kwanza ama kuendelea kutoa huduma tu.
Wengine hukaribia hata kiasi cha kukata tamaa hasa pale wanapokuwa hawaoni matokeo ya kile wanachokifanya.
Ukweli ni kwamba, ni muhimu sana kukuza brand yako wakati unaendelea kutoa huduma ama kufanya biashara zako ili watu waweze kukuamini na kufanya kazi na wewe ama kununua kutoka kwako.
Hii inasaidia kiasi kwamba unafika wakati ambapo wateja wakiwa na uhitaji mbalimbali lazima waje kununua kutoka kwako kwa sababu ya brand yako.
Wakati mwingine kinachokusaidia kuuza au kupata wadau siyo aina ya bidhaa zako unazotoa, bali ni kwa sababu ya brand au jina lako linavyofahamika.
Habari njema ni kwamba, hata wewe unayonafasi kubwa sana ya kupambania brand yako wakati unaendelea kufanya biashara yako. Brand itakutangaza na kukufanya uaminike.
Unaweza kuamua sasa hivi kutengeneza mifuko au vifungashio vyenye chapa ya bidhaa au huduma unayotoa ili watu wengine waendelee kuzungumza kuhusu wewe huko barabarani.
Jipatie sasa vifungashio na mifuko iliyochapwa kwa bei nafuu kabisa.
Wasiliana nasi kupitia simu namba;
0764 987 588
Au barua pepe
msomihurugroup@gmail.com
Tunapatikana Morogoro
Tunatuma kazi mikoa yote Tanzania.
Karibuni Sana!
https://www.instagram.com/p/C3B5AF9qUpc/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==
Comments
Post a Comment