JINSI YA KUTENGENEZA BRAND IMARA

Kila mtu anaweza kutengeneza BRAND imara kwa ajili ya taasisi, kampuni ama kikundi chake kwa kufanya yafuatayo:- 1. Sajili taasisi, kikundi, kampuni au biashara yako ili itambulike kisheria. 2. Tengeneza kanuni ambazo wafanyakazi ama wafuasi wako watazifuata. Kila mtu katika kutekeleza majukumu yake azifuate kanuni hizo. 3. Fanya kila linalowezekana kampuni, taasisi ama kikundi chako kiwe na uwezo wa kujiendesha hata usipokuwepo. Ukiona kikundi , kampuni ama taasisi yako bado haiwezi kujiendesha usipokuwepo jua kabisa hapo badooooo sanaaaa! 4. Tengeneza Logo, chapa t-shirts ili kutengeneza utambulisho wako kwa watu wanaokuzunguka. Hii itasaidia watu kufahamu kikundi, kampuni ama taasisi yako pasipo kutumia nguvu kubwa. Sasa basi... Katika kufanikisha haya yoteeee..... Msomi Huru Enterprises Co. LTD inakusaidia kutengeneza brand imara sana kwa; ❇️ Kutengeneza logo, posters ama banners. ❇️ Kusajili kikundi, taasisi ama kampuni yako kwa gharama Nafuu sana (Kuna OFA ya msimu wa sikuku...